Picha 6 za mwigizaji wa Mother-in-Law Mustafa zitakazokushangaza

-Mwigizaji wa Mother-in-Law Mustafa amevutia wananchi wengi kutokana na uigizaji wake kila Jumapili -Lakini nje ya kipindi hicho, ni wachache tu wanaomjua mwigizaji huyo -Zaidi ya kuigiza, Mustafa, ambaye jina lake kamili ni Andrew Muthure, ni mtangazaji wa radio, Hot 96

-Mwigizaji wa Mother-in-Law Mustafa amevutia wananchi wengi kutokana na uigizaji wake kila Jumapili

-Lakini nje ya kipindi hicho, ni wachache tu wanaomjua mwigizaji huyo

-Zaidi ya kuigiza, Mustafa, ambaye jina lake kamili ni Andrew Muthure, ni mtangazaji wa radio, Hot 96

Mwigizaji wa Mother-in-Law Andrew Muthure, AKA Mustafa ni mpishi mcheshi katika kipindi hicho.

TUKO.co.ke ilipata baadhi za picha za mwigizaji huyo anbazo zinavutia sana.

Habari Nyingine: Nina miaka 18 na ninampenda mwanamume wa miaka 30

Wakati ambapo haigizi kwa kuvalia kanzu, huwa anajimwaya suti za kupendeza. Mustafa pia ni mtangazaji wa radio, HOT 96.

Pakua APP mpya ya TUKO upate habari BURE!

Amekuwa akiigiza katika kipindi hicho kwa karibu miaka 10 sasa. Ni mmoja wa watu maarufu ambao wameweza kuweka maisha yao siri na ambaye hajaonekana kuwa sakata.

Subscribe to watch new videos

Subscribe to Tuko youtube channel to watch more interesting videos

Read ENGLISH VERSION

Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe?Tuma ujumbe kwa mhariri:mwangi.muraguri@tuko.co.ke

Chanzo: TUKO.co.ke

ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdiaoBxf5hmp6KbmJZ6d3nZmmSmr5mctrutyaJksJldory1tMSrZKWZp2K6tr%2FTmp2aZaqewaK3wLOmpK2jna6vs8CzmGegpKK5

 Share!